Mabadiliko yaliyofanywa kwenye sare za wahudumu wa ndege China - story tam

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Mabadiliko yaliyofanywa kwenye sare za wahudumu wa ndege China

Share This

Baada ya malalamiko mengi yaliyotolewa na wahudumu wa ndege wa kike kuhusu kukataliwa kuvaa suruali huko Hong Kong nchini China, kilio chao kimesikiwa na mabadiliko yamefanywa.
Inaelezwa kuwa ruhusa imetangazwa rasmi kwa wahudumu hao kuvaa wanachokitaka yaani suruali au sketi tofauti na ilivyokuwa zamani ambapo ilikuwa ni lazima kuvaa sketi.
Ndege hiyo Hong Kong Airline imeruhusu mabadiliko hayo baada ya wahudumu hao kulalamika kuwa kutokana na sketi zao kuwa fupi, huwa hawako ‘comfortable’ hususani kipindi wakiwa wanapakia mizigo kwenye ‘locker za juu’ za mizigo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages