Enzi Samatta alivyokuwa anapiga chenga wachezaji wanne na kufunga VPL - story tam

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Enzi Samatta alivyokuwa anapiga chenga wachezaji wanne na kufunga VPL

Share This


Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta kabla ya kufikia mafanikio hayo aliwahi kucheza club ya Simba kwa kipindi kifupi na mwaka 2011 akajiunga na club ya TP Mazembe ya Congo DRC.
Baada ya kudumu kwa miaka mitano katika club hiyo Mbwana Samatta mwaka 2016 aliamua kwenda kujiunga na club ya KRC Genk ya Ubelgiji anayoichezea hadi sasa, inawezekana hukuwahi kupata nafasi ya kumuona Samatta akiichezea Simba basi 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages