Waraka wa Askofu Mkuu wa Anglikana nchini, Jacob Chimeledya umesomwa katika makanisa yote ya Dayosisi ya Dar es Salaam ukibainisha makosa yaliyofanywa na Askofu Valentino Mkokiwa na kumtakakujiuzulu wadhifa wake.
Waraka huo umesomwa kanisa la Mtakatifu Albano leo na mjumbe wa halmashauri ya walei dayosisi hiyo, Helen Mkoma umebainisha kwamba Januari 28 mwakahuu, Askofu Chimeledya aliunda kamati ya kwenda kuzungumza na Askofu Mokiwa wakimtaka ajiuzulu kwa hiari ili kulinusuru kanisa hilo.
Hata hivyo, Askofu Mokiwa aliomba muda wa wiki mbili ili kutafakari suala hilo lakini wiki mbili zimekwisha hajatoa mrejesho wowote huku kukiwa na viashiria vya kwamba hayuko tayari kutii agizo hilo.
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Home
Unlabelled
Askofu Mokiwa Aaibnishwa Mbele ya Kanisa,Waraka wa Makosa Yake Wasambazwa Kila Usharika.......!!!
Askofu Mokiwa Aaibnishwa Mbele ya Kanisa,Waraka wa Makosa Yake Wasambazwa Kila Usharika.......!!!
Share This
Share This
About DJPOO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
No comments:
Post a Comment