Jamii ya Tanzania ambayo marehemu 'huoa na kujaliwa watoto'. - story tam

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jamii ya Tanzania ambayo marehemu 'huoa na kujaliwa watoto'.

Share This

Bara la Afrika husifika kwa utajiri wa tamaduni mbalimbali, zipo tamaduni za kufanana baina ya makabila lakini pia kuna tamaduni za kushangaza na kukuacha mdomo wazi.

Je, umewahi kusikia marehemu kutafutiwa mchumba na kuoa? Basi huo ni moja ya utaratibu katika baadhi ya koo za jamii ya Wakuria nchini Tanzania.

Marehemu anaoa vipi? Munira Hussein anaarifu zaidi.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages