Baada ya Zigo Remix, AY amekamilisha collabo nyingine na staa Mkenya - story tam

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Baada ya Zigo Remix, AY amekamilisha collabo nyingine na staa Mkenya

Share This

Baada ya kufanya poa sana kwa hit single ya “Zigo Remix”, rapa AY amerudi tena studio kuandaa collabo yake mpya na amethitisha hilo kwa kuweka wazi kwamba anategemea kuachia ngoma ambayoameshirikiana na rapperNyashinskikutoka Kenya.

Kupitia account yake ya Instagram AY ameeleza kuwa siku sio nyingi ataachia wimbo aliofanya na Nyashinski ambaye anafanya vizuri sana kupitia hit song yake ya ‘Mungu pekee’ & ‘Now you know’.

Thanks kwa hii Love Mombasa Kenya��������Habari zikufikie hivi punde kuwa next week nataka kuyafurahisha masikio yako kwa muziki mzuri Featuring NYASHINSKI @realshinski #staytuned����x���


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages